Deuteronomy 32:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisasi ni juu yangu, mimi nitalipiza, wakati miguu yao itakapoteleza; maana siku yao ya maafa imewadia, mwisho wao u karibu sana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni juu yangu kulipiza kisasi; nitalipiza. Wakati utakapowadia, mguu wao utateleza; siku yao ya maafa ni karibu, na maangamizi yao yanawajia haraka.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisasi ni changu mimi, na kulipa, Wakati itakapoteleza miguu yao; Maana siku ya msiba wao imekaribia, Na mambo yatakayowapata yatafanya haraka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisasi ni juu yangu, mimi nitalipiza, wakati miguu yao itakapoteleza; maana siku yao ya maafa imewadia, mwisho wao u karibu sana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni juu yangu kulipiza kisasi; nitalipiza. Wakati utakapowadia mguu wao utateleza; siku yao ya maafa ni karibu, na maangamizo yao yanawajia haraka.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni juu yangu kulipiza kisasi; nitalipiza. Wakati utakapowadia, mguu wao utateleza; siku yao ya maafa ni karibu, na maangamizo yao yanawajia haraka.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisasi ni changu mimi, na kulipa, Wakati itakapoteleza miguu yao; Maana siku ya msiba wao imekaribia, Na mambo yatakayowapata yatafanya haraka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisasi ni juu yangu, mimi nitalipiza, wakati miguu yao itakapoteleza; maana siku yao ya maafa imewadia, mwisho wao u karibu sana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lipizi ni langu mimi, ni mimi nitakayelipisha. Miguu yao itakapoteleza, ndipo, litakapokuwa, kwani siku ya mwangamizo wao iko karibu, nayo yatakayowapata yanapiga mbio kufika upesi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisasi ni changu mimi, na kulipa, Wakati itakapoteleza miguu yao; Maana siku ya msiba wao imekaribia, Na mambo yatakayowapata yatafanya haraka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni kazi yangu kulipiza kisasi, mimi nitalipiza, wakati miguu yao itakapoteleza; maana siku yao ya hasara imefika mwisho wao uko karibu sana.