Deuteronomy 32:37 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Mwenyezi-Mungu atakapowauliza watu wake, ‘Iko wapi ile miungu yenu, mwamba mlioukimbilia usalama?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atasema: “Sasa iko wapi miungu yao, mwamba walioukimbilia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye atasema, Iko wapi miungu yao, Mwamba ule walioutumaini;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Mwenyezi-Mungu atakapowauliza watu wake, ‘Iko wapi ile miungu yenu, mwamba mlioukimbilia usalama?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atasema: “Sasa iko wapi miungu yao, mwamba walioukimbilia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atasema: “Sasa iko wapi miungu yao, mwamba walioukimbilia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye atasema, Iko wapi miungu yao, Mwamba ule walioutumaini;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Mwenyezi-Mungu atakapowauliza watu wake, ‘Iko wapi ile miungu yenu, mwamba mlioukimbilia usalama?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, atakapouliza: Miungu yao iko wapi? Uko wapi mwamba wao, waliouegemea?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye atasema, Iko wapi miungu yao, Mwamba ule walioutumaini;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndipo Yawe atakapouliza watu wake: Iko wapi ile miungu yenu, mulinzi muliyekimbilia usalama?