Deuteronomy 32:38 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Iko wapi hiyo miungu iliyokula matoleo yenu na kunywa divai na tambiko zenu za kinywaji? Basi na iinuke, iwasaidieni; acheni hiyo iwe kinga yenu sasa!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
miungu wale waliokula mafuta ya dhabihu zao na kunywa mvinyo wa sadaka zao za vinywaji? Wainuke basi, wawasaidie! Wawapeni basi ulinzi!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uliokula shahamu za sadaka zao, Na kunywa divai ya sadaka zao za kinywaji? Na waondoke na kuwasaidia ninyi; Na wawe hao himaya yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Iko wapi hiyo miungu iliyokula matoleo yenu na kunywa divai na tambiko zenu za kinywaji? Basi na iinuke, iwasaidieni; acheni hiyo iwe kinga yenu sasa!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
miungu wale waliokula mafuta ya dhabihu zao na kunywa mvinyo wa sadaka zao za vinywaji? Wainuke basi, wawasaidie! Wawapeni basi ulinzi!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
miungu wale waliokula mafuta ya dhabihu zao na kunywa mvinyo wa sadaka zao za vinywaji? Wainuke basi, wawasaidie! Wawapeni basi ulinzi!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uliokula shahamu za sadaka zao, Na kunywa divai ya sadaka zao za kinywaji? Na waondoke na kuwasaidia ninyi; Na wawe hao himaya yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Iko wapi hiyo miungu iliyokula matoleo yenu na kunywa divai na tambiko zenu za kinywaji? Basi na iinuke, iwasaidieni; acheni hiyo iwe kinga yenu sasa!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wako wapi walioyala mafuta ya ng'ombe zao za tambiko? Wako wapi waliozinywa mvinyo za vinywaji vyao vya tambiko? Na wainuke, wawasaidie ninyi wakija kwenu kuwakingia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uliokula shahamu za sadaka zao, Na kunywa divai ya sadaka zao za kinywaji? Na waondoke na kuwasaidia ninyi; Na wawe hao himaya yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Iko wapi hiyo miungu iliyokula matoleo yenu na kunywa divai na sadaka zenu za kinywaji? Basi isimame, iwasaidie; muache hiyo ikuwe ulinzi wenu sasa!