Deuteronomy 32:40 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nanyosha mkono wangu mbinguni, na kuapa, kwa uhai wangu wa milele,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninainua mkono wangu kuelekea mbinguni na kusema: Hakika kama niishivyo milele,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana, nainua mkono wangu mbinguni, Na kusema, Kama Mimi niishivyo milele,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nanyosha mkono wangu mbinguni, na kuapa, kwa uhai wangu wa milele,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninainua mkono wangu kuelekea mbinguni na kusema: Hakika kama niishivyo milele,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninainua mkono wangu kuelekea mbinguni na kusema: Hakika kama niishivyo milele,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana, nainua mkono wangu mbinguni, Na kusema, Kama Mimi niishivyo milele,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nanyosha mkono wangu mbinguni, na kuapa, kwa uhai wangu wa milele,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani nauinua mkono wangu kuuelekeza mbinguni kwamba: Hivyo nilivyo mwenye uzima kale na kale,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana, nainua mkono wangu mbinguni, Na kusema, Kama Mimi niishivyo milele,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninanyoosha mukono wangu mbinguni na kuapa: Kama vile ninavyoishi milele,