Deuteronomy 32:42 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mishale yangu nitailevya kwa damu, upanga wangu utashiba nyama, utalowa damu ya majeruhi na mateka na adui wenye nywele ndefu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitailevya mishale yangu kwa damu, wakati upanga wangu ukitafuna nyama: damu ya waliochinjwa pamoja na mateka, vichwa vya viongozi wa adui.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitailevya mishale yangu kwa damu, Na upanga wangu utakula nyama; Pamoja na damu ya waliouawa na waliotekwa nyara, Katika vichwa vya wakuu wa adui.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mishale yangu nitailevya kwa damu, upanga wangu utashiba nyama, utalowa damu ya majeruhi na mateka na adui wenye nywele ndefu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitailevya mishale yangu kwa damu, wakati upanga wangu ukitafuna nyama: damu ya waliochinjwa pamoja na mateka, vichwa vya viongozi wa adui.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitailevya mishale yangu kwa damu, wakati upanga wangu ukitafuna nyama: damu ya waliochinjwa pamoja na mateka, vichwa vya viongozi wa adui.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitailevya mishale yangu kwa damu, Na upanga wangu utakula nyama; Pamoja na damu ya waliouawa na waliotekwa nyara, Katika vichwa vya wakuu wa adui.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mishale yangu nitailevya kwa damu, upanga wangu utashiba nyama, utalowa damu ya majeruhi na mateka na adui wenye nywele ndefu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitailewesha mishale yangu, izidi kunywa damu, nao upanga wangu utakula nyama, ni damu zao watakaouawa nazo zao watakaotekwa, ni nyama zao walio vichwa na watawalaji wa adui.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitailevya mishale yangu kwa damu, Na upanga wangu utakula nyama; Pamoja na damu ya waliouawa na waliotekwa nyara, Katika vichwa vya wakuu wa adui.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mishale yangu nitailewesha kwa damu, upanga wangu utashiba nyama, utalowana na damu ya vidonda na wafungwa na waadui wenye nywele ndefu.