Deuteronomy 32:44 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose alikuja mbele ya Yoshua, mwana wa Nuni, wakakariri maneno ya wimbo huu, ili Waisraeli wote wausikie.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa na Yoshua mwana wa Nuni wakaja, wakanena maneno yote ya wimbo watu wakiwa wanasikia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akaja akasema maneno haya yote ya wimbo huu masikioni mwa watu, yeye na Yoshua, mwana wa Nuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose alikuja mbele ya Yoshua, mwana wa Nuni, wakakariri maneno ya wimbo huu, ili Waisraeli wote wausikie.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose na Yoshua mwana wa Nuni wakaja, wakanena maneno yote ya wimbo watu wakiwa wanasikia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa na Yoshua mwana wa Nuni wakaja, wakanena maneno yote ya wimbo watu wakiwa wanasikia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akaja akasema maneno haya yote ya wimbo huu masikioni mwa watu, yeye na Yoshua, mwana wa Nuni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose alikuja mbele ya Yoshua, mwana wa Nuni, wakakariri maneno ya wimbo huu, ili Waisraeli wote wausikie.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose akenda, akayasema maneno yote ya wimbo huu masikioni pa watu, yeye na Yosua, mwana wa Nuni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akaja akasema maneno haya yote ya wimbo huu masikioni mwa watu, yeye na Yoshua, mwana wa Nuni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa alikuja mbele ya Yoshua, mwana wa Nuni, wakarudilia maneno ya wimbo huu, kusudi Waisraeli wote wausikie.