Deuteronomy 32:45 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose alipomaliza kuwaambia watu wa Israeli maneno haya yote,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa alipomaliza kuyasoma maneno haya yote kwa Israeli wote,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akamaliza kuwaambia Israeli wote maneno haya yote;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose alipomaliza kuwaambia watu wa Israeli maneno haya yote,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose alipomaliza kuyasoma maneno haya yote kwa Israeli wote,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa alipomaliza kuyasoma maneno haya yote kwa Israeli wote,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akamaliza kuwaambia Israeli wote maneno haya yote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose alipomaliza kuwaambia watu wa Israeli maneno haya yote,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose alipokwisha kuwaambia Waisiraeli wote maneno haya yote,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akamaliza kuwaambia Israeli wote maneno haya yote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa alipomaliza kuwaambia watu wa Israeli maneno haya yote,