Deuteronomy 32:48 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku hiyohiyo, Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku hiyo hiyo Mwenyezi Mungu akamwambia Musa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akasema na Musa siku iyo hiyo, akamwambia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku hiyohiyo, Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku hiyo hiyo BWANA akamwambia Mose,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku hiyo hiyo bwana akamwambia Musa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akasema na Musa siku hiyo hiyo, akamwambia,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku hiyohiyo, Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku iyo hiyo Bwana akamwambia Mose kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akasema na Musa siku iyo hiyo, akamwambia,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku hiyohiyo, Yawe akamwambia Musa: