Deuteronomy 32:50 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha ufariki hukohuko mlimani kama kaka yako Aroni alivyofariki katika mlima Hori,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utafia kwenye mlima huo unaokwea na kukusanyika pamoja na watu wako, kama ndugu yako Haruni alivyofia juu ya Mlima Hori naye akakusanyika kwa watu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ukafe katika kilima, huko ukweako, ukusanywe uwe pamoja na jamaa zako; kama alivyokufa nduguyo Haruni katika mlima wa Hori, akakusanywa awe pamoja na watu wake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha ufariki hukohuko mlimani kama kaka yako Aroni alivyofariki katika mlima Hori,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utafia kwenye mlima huo unaokwea na kukusanyika pamoja na watu wako, kama ndugu yako Aroni alivyokufa juu ya Mlima Hori naye akakusanyika kwa watu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utafia kwenye mlima huo unaokwea na kukusanyika pamoja na watu wako, kama ndugu yako Haruni alivyofia juu ya Mlima Hori naye akakusanyika kwa watu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ukafe katika kilima, huko ukweako, ukusanywe uwe pamoja na jamaa zako; kama alivyokufa nduguyo Haruni katika mlima wa Hori, akakusanywa awe pamoja na watu wake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha ufariki hukohuko mlimani kama kaka yako Aroni alivyofariki katika mlima Hori,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakapokwisha kuupanda mlima huo utakufa, uchukuliwe kwenda kwao walio ukoo wako, kama kaka yako Haroni alivyokufa mlimani kwa Hori na kuchukuliwa kwenda kwao walio ukoo wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ukafe katika kilima, huko ukweako, ukusanywe uwe pamoja na jamaa zako; kama alivyokufa nduguyo Haruni katika mlima wa Hori, akakusanywa awe pamoja na watu wake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kulekule juu ya mulima utakufa na kukutana na wazee wako kama vile kaka yako Haruni alivyokufa katika mulima Hori na kukutana nao,