Deuteronomy 32:52 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utaiona nchi iliyo mbele yako, lakini hutaingia katika nchi hiyo ninayowapa Waisraeli.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo, utaiona tu nchi kwa mbali; wewe hutaingia nchi ninayowapa watu wa Israeli.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwani utaiona hiyo nchi mbele yako, lakini hutakwenda huko kuingia hiyo nchi niwapayo wana wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utaiona nchi iliyo mbele yako, lakini hutaingia katika nchi hiyo ninayowapa Waisraeli.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo, utaiona tu nchi kwa mbali; wewe hutaiingia nchi ninayowapa watu wa Israeli.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo, utaiona tu nchi kwa mbali; wewe hutaingia nchi ninayowapa watu wa Israeli.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwani utaiona hiyo nchi mbele yako, lakini hutakwenda huko kuingia hiyo nchi niwapayo wana wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utaiona nchi iliyo mbele yako, lakini hutaingia katika nchi hiyo ninayowapa Waisraeli.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa sababu hii utaiona hiyo nchi mbele yako, lakini hutaingia katika hiyo nchi, nitakayowapa wana wa Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwani utaiona hiyo nchi mbele yako, lakini hutakwenda huko kuingia hiyo nchi niwapayo wana wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utaona inchi inayokuwa mbele yako, lakini hautaingia katika inchi hiyo ninayowapa Waisraeli.”