Deuteronomy 32:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kulingana na idadi ya watoto wa Mungu, lakini alijiwekea watu wa Yakobo kuwa wake, hao alijichagulia kuwa mali yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa fungu la Mwenyezi Mungu ni watu wake, Yakobo kura yake ya urithi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana, sehemu ya Bwana ni watu wake, Yakobo ni kura ya urithi wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kulingana na idadi ya watoto wa Mungu, lakini alijiwekea watu wa Yakobo kuwa wake, hao alijichagulia kuwa mali yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa fungu la BWANA ni watu wake, Yakobo kura yake ya urithi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa fungu la bwana ni watu wake, Yakobo kura yake ya urithi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana, sehemu ya BWANA ni watu wake, Yakobo ni kura ya urithi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kulingana na idadi ya watoto wa Mungu, lakini alijiwekea watu wa Yakobo kuwa wake, hao alijichagulia kuwa mali yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani fungu lake Bwana ni huu ukoo wake, aliojipatia kwa kura kuwa wake, ndio wa Yakobo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana, sehemu ya BWANA ni watu wake, Yakobo ni kura ya urithi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
lakini alijiwekea watu wa Yakobo kuwa wake, hao alijichagulia kuwa mali yake.