Deuteronomy 33:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Juu ya kabila la Benyamini alisema: “Hili ni kabila alipendalo Mwenyezi-Mungu, nalo hukaa salama karibu naye. Yeye hulilinda mchana kutwa, na kukaa kati ya milima yake.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhusu Benyamini akasema: “Mwache mpendwa wa Mwenyezi Mungu apumzike salama kwake, kwa maana humkinga mchana kutwa, na yule Mwenyezi Mungu ampendaye hupumzika kati ya mabega yake.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamnena Benyamini, Mpenzi wa Bwana atakaa salama kwake; Yuamfunika mchana kutwa, Naye hukaa kati ya mabega yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Juu ya kabila la Benyamini alisema: “Hili ni kabila alipendalo Mwenyezi-Mungu, nalo hukaa salama karibu naye. Yeye hulilinda mchana kutwa, na kukaa kati ya milima yake.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhusu Benyamini akasema: “Mwache mpenzi wa BWANA apumzike salama kwake, kwa maana humkinga mchana kutwa, na yule BWANA ampendaye hupumzika kati ya mabega yake.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhusu Benyamini akasema: “Mwache mpenzi wa bwana apumzike salama kwake, kwa maana humkinga mchana kutwa, na yule bwana ampendaye hupumzika kati ya mabega yake.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamnena Benyamini, Mpenzi wa BWANA atakaa salama kwake; Yuamfunika mchana kutwa, Naye hukaa kati ya mabega yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Juu ya kabila la Benyamini alisema: “Hili ni kabila alipendalo Mwenyezi-Mungu, nalo hukaa salama karibu naye. Yeye hulilinda mchana kutwa, na kukaa kati ya milima yake.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Benyamini akamwambia: Mpendwa wa Bwana na akae kwake na kutulia! Bwana humfunika mchana kutwa na kukaa kati ya mabega yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamnena Benyamini, Mpenzi wa BWANA atakaa salama kwake; Yuamfunika mchana kutwa, Naye hukaa kati ya mabega yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Juu ya kabila la Benjamina akasema: “Hili ni kabila Yawe analopenda, nalo linakaa salama karibu naye. Yeye analinda muchana kutwa, na kukaa kati ya milima yake.”