Deuteronomy 33:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Juu ya kabila la Yosefu alisema: “Mwenyezi-Mungu na aibariki nchi yake, kwa baraka nzuri kabisa kutoka juu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhusu Yusufu akasema: “Mwenyezi Mungu na aibariki nchi yake kwa umande wa thamani kutoka juu mbinguni, na vilindi vya maji vilivyotulia chini;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Yusufu akamnena, Nchi yake na ibarikiwe na Bwana; Kwa vitu vya thamani vya mbinguni, kwa huo umande, Na kwa kilindi kilalacho chini,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Juu ya kabila la Yosefu alisema: “Mwenyezi-Mungu na aibariki nchi yake, kwa baraka nzuri kabisa kutoka juu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhusu Yosefu akasema: “BWANA na aibariki nchi yake kwa umande wa thamani kutoka mbinguni juu, na vilindi vya maji vilivyotulia chini;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhusu Yusufu akasema: “ bwana na aibariki nchi yake kwa umande wa thamani kutoka mbinguni juu, na vilindi vya maji vilivyotulia chini;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Yusufu akamnena, Nchi yake na ibarikiwe na BWANA; Kwa vitu vya thamani vya mbinguni, kwa huo umande, Na kwa kilindi kilalacho chini,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Juu ya kabila la Yosefu alisema: “Mwenyezi-Mungu na aibariki nchi yake, kwa baraka nzuri kabisa kutoka juu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Yosefu akamwambia: Nchi yako na iwe imebarikiwa naye Bwana, akiipatia kipaji kizuri cha mbinguni, ndio umande, nayo maji mengi yakaayo ndani ya nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Yusufu akamnena, Nchi yake na ibarikiwe na BWANA; Kwa vitu vya thamani vya mbinguni, kwa huo umande, Na kwa kilindi kilalacho chini,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Juu ya kabila la Yosefu akasema: “Yawe abariki inchi yake, kwa baraka nzuri kabisa kutoka juu,