Deuteronomy 33:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Juu ya kabila la Zebuluni na kabila la Isakari, alisema, “Zebuluni, furahi katika safari zako; nawe Isakari, furahi katika mahema yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhusu Zabuloni akasema: “Shangilia, Zabuloni, wakati wa kutoka nje, nawe Isakari, katika mahema yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Zabuloni akamnena, Furahi Zabuloni, katika kutoka kwako;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Juu ya kabila la Zebuluni na kabila la Isakari, alisema, “Zebuluni, furahi katika safari zako; nawe Isakari, furahi katika mahema yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhusu Zabuloni akasema: “Shangilia, Zabuloni, wakati wa kutoka nje, nawe Isakari, katika mahema yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhusu Zabuloni akasema: “Shangilia, Zabuloni, wakati wa kutoka nje, nawe Isakari, katika mahema yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Zabuloni akamnena, Furahi Zabuloni, katika kutoka kwako; Na Isakari, katika hema zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Juu ya kabila la Zebuluni na kabila la Isakari, alisema, “Zebuluni, furahi katika safari zako; nawe Isakari, furahi katika mahema yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Zebuluni akamwambia: Zebuluni, zifurahie safari zako za baharini, nawe Isakari, yafurahie mahema yako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Zabuloni akamnena, Furahi Zabuloni, katika kutoka kwako; Na Isakari, katika hema zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Juu ya kabila la Zebuluni akasema: “Zebuluni na Isakari mufanikiwe katika shuguli zenu na munapokuwa katika mahema yenu.