Deuteronomy 33:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watawaalika wageni kwenye milima yao, na huko watu watatoa sadaka zinazotakiwa. Maana wao watapata utajiri wao kutoka baharini na hazina zao katika mchanga wa pwani.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watawaita mataifa kwenye mlima, na huko mtatoa dhabihu za haki; watajifurahisha kwa wingi uliojaza bahari, kwa hazina zilizofichwa mchangani.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watayaita mataifa waje mlimani; Wakasongeze huko sadaka za haki; Kwa kuwa watanyonya wingi wa bahari, Na akiba zilizofichamana za mchangani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watawaalika wageni kwenye milima yao, na huko watu watatoa sadaka zinazotakiwa. Maana wao watapata utajiri wao kutoka baharini na hazina zao katika mchanga wa pwani.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watawaita mataifa kwenye mlima, na huko mtatoa dhabihu za haki; watajifurahisha kwa wingi uliojaza bahari, kwa hazina zilizofichwa mchangani.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watawaita mataifa kwenye mlima, na huko mtatoa dhabihu za haki; watajifurahisha kwa wingi uliojaza bahari, kwa hazina zilizofichwa mchangani.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watayaita mataifa waje mlimani; Wakasongeze huko sadaka za haki; Kwa kuwa watanyonya wingi wa bahari, Na akiba zilizofichamana za mchangani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watawaalika wageni kwenye milima yao, na huko watu watatoa sadaka zinazotakiwa. Maana wao watapata utajiri wao kutoka baharini na hazina zao katika mchanga wa pwani.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wataalika makabila ya watu kuja mlimani; ndiko, watakakochinja ng'ombe za tambiko zilizo za kweli, kwani mafuriko ya bahari yatawanyonyesha, mpaka washibe, nazo zile mali nyingi zilizofichika mafukoni zitakuwa zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watayaita mataifa waje mlimani; Wakasongeze huko sadaka za haki; Kwa kuwa watanyonya wingi wa bahari, Na akiba zilizofichamana za mchangani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watawaalika wageni kwenye milima yao, na huko watu watatolea sadaka. Maana wao watapata utajiri wao kutoka katika bahari na hazina zao katika muchanga wa pembeni ya bahari.”