Deuteronomy 33:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alijichagulia eneo zuri kuliko yote, mahali ilipotengwa sehemu ya kiongozi. Aliwaongoza watu na kumtii Mwenyezi-Mungu, alitekeleza mpango wa Mungu kwa Israeli.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alijichagulia nchi nzuri kuliko zote kwa ajili yake mwenyewe; fungu la kiongozi lilikuwa limehifadhiwa kwa ajili yake. Viongozi wa watu walipokusanyika, alitimiza haki ya mapenzi ya Mwenyezi Mungu, na hukumu zake kuhusu Israeli.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akajichagulia sehemu ya kwanza, Kwani ndiko lilikowekwa fungu la mtoa-sheria; Akaja pamoja na wakuu wa watu, Akaitekeleza haki ya Bwana, Na hukumu zake kwa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alijichagulia eneo zuri kuliko yote, mahali ilipotengwa sehemu ya kiongozi. Aliwaongoza watu na kumtii Mwenyezi-Mungu, alitekeleza mpango wa Mungu kwa Israeli.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alijichagulia nchi nzuri kuliko zote kwa ajili yake mwenyewe; fungu la kiongozi lilikuwa limehifadhiwa kwa ajili yake. Viongozi wa watu walipokusanyika, alitimiza haki ya mapenzi ya BWANA, na hukumu zake kuhusu Israeli.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alijichagulia nchi nzuri kuliko zote kwa ajili yake mwenyewe; fungu la kiongozi lilikuwa limehifadhiwa kwa ajili yake. Viongozi wa watu walipokusanyika, alitimiza haki ya mapenzi ya bwana, na hukumu zake kuhusu Israeli.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akajichagulia sehemu ya kwanza, Kwani ndiko lilikowekwa fungu la mtoa-sheria; Akaja pamoja na wakuu wa watu, Akaitekeleza haki ya BWANA, Na hukumu zake kwa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alijichagulia eneo zuri kuliko yote, mahali ilipotengwa sehemu ya kiongozi. Aliwaongoza watu na kumtii Mwenyezi-Mungu, alitekeleza mpango wa Mungu kwa Israeli.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipoiona nchi ya kwanza, ikawa yake, kwani huko aliwekewa kazi ya mwongozi. Lakini naye akaja kwao waliokuwa vichwa vya watu hawa, akaishindisha haki ya Bwana na kuyatimiza mashauri yake akiwa pamoja nao hao Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akajichagulia sehemu ya kwanza, Kwani ndiko lilikowekwa fungu la mtoa-sheria; Akaja pamoja na wakuu wa watu, Akaitekeleza haki ya BWANA, Na hukumu zake kwa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alijichagulia eneo zuri kuliko yote, pahali sehemu ya kiongozi ilipotengwa. Aliwaongoza watu na kumutii Yawe, alitimiza mupango wa Mungu kwa Israeli.”