Deuteronomy 33:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Juu ya kabila la Naftali alisema: “Ee Naftali fadhili, uliyejaa baraka za Mwenyezi-Mungu, nchi yako ni kusini kwenye ziwa Kinerethi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhusu Naftali akasema: “Naftali amejaa tele upendeleo wa Mwenyezi Mungu, naye amejaa baraka yake; atarithi magharibi na kusini.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Naftali akamnena, Ee Naftali, uliyeshiba fadhili, Uliyejawa na baraka ya Bwana; Umiliki magharibi na kusini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Juu ya kabila la Naftali alisema: “Ee Naftali fadhili, uliyejaa baraka za Mwenyezi-Mungu, nchi yako ni kusini kwenye ziwa Kinerethi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhusu Naftali akasema: “Naftali amejaa tele upendeleo wa BWANA, naye amejaa baraka yake; atarithi magharibi na kusini.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhusu Naftali akasema: “Naftali amejaa tele upendeleo wa bwana, naye amejaa baraka yake; atarithi magharibi na kusini.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Naftali akamnena, Ee Naftali, uliyeshiba fadhili, Uliyejawa na baraka ya BWANA; Umiliki magharibi na kusini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Juu ya kabila la Naftali alisema: “Ee Naftali fadhili, uliyejaa baraka za Mwenyezi-Mungu, nchi yako ni kusini kwenye ziwa Kinerethi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nafutali akamwambia: Nafutali atashiba yampendezayo, azidishiwe mbaraka ya Bwana; chukua nchi ya baharini na ya kusini, iwe yako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Naftali akamnena, Ee Naftali, uliyeshiba fadhili, Uliyejawa na baraka ya BWANA; Umiliki magharibi na kusini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Juu ya kabila la Nafutali akasema: “Ee Nafutali uliyeshibishwa upendeleo, uliyejaa baraka za Yawe, inchi yako ni mpaka kwenye ziwa Kinereti na upande wake wa kusini.”