Deuteronomy 33:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Juu ya kabila la Asheri alisema: “Asheri abarikiwe kuliko watoto wote wa Yakobo, na upendelewe na ndugu zako wote; na achovye mguu wake katika mafuta.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhusu Asheri akasema: “Aliyebarikiwa zaidi sana katika wana ni Asheri; yeye na apate upendeleo kwa ndugu zake, yeye na anawe miguu yake kwenye mafuta.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Asheri akamnena, Na abarikiwe Asheri kwa watoto; Na akubaliwe katika nduguze, Na achovye mguu wake katika mafuta.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Juu ya kabila la Asheri alisema: “Asheri abarikiwe kuliko watoto wote wa Yakobo, na upendelewe na ndugu zako wote; na achovye mguu wake katika mafuta.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhusu Asheri akasema: “Mbarikiwa zaidi sana katika wana ni Asheri; yeye na apate upendeleo kwa ndugu zake, yeye na anawe miguu yake kwenye mafuta.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhusu Asheri akasema: “Aliyebarikiwa zaidi sana katika wana ni Asheri; yeye na apate upendeleo kwa ndugu zake, yeye na anawe miguu yake kwenye mafuta.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Asheri akamnena, Na abarikiwe Asheri kwa watoto; Na akubaliwe katika nduguze, Na achovye mguu wake katika mafuta.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Juu ya kabila la Asheri alisema: “Asheri abarikiwe kuliko watoto wote wa Yakobo, na upendelewe na ndugu zako wote; na achovye mguu wake katika mafuta.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Aseri akamwambia: Aseri ndiye katika hawa wana atakayepata mbaraka zaidi, tena atakuwa mpendwa wao ndugu zake, nao mguu wake atauchovya katika mafuta;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Asheri akamnena, Na abarikiwe Asheri kwa watoto; Na akubaliwe katika nduguze, Na achovye mguu wake katika mafuta.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Juu ya kabila la Aseri akasema: “Aseri abarikiwe kuliko watoto wote wa Yakobo, na upendelewe na wandugu zako wote; na achovye muguu wake katika mafuta.