Deuteronomy 33:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo, watu wa Israeli wakakaa salama, wazawa wa Yakobo peke yao, katika nchi iliyojaa nafaka na divai, nchi ambayo anga lake hudondosha umande.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Israeli ataishi salama peke yake. Mzao wa Yakobo ni salama katika nchi ya nafaka na divai mpya, mahali mbingu hudondosha umande.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Israeli anakaa salama, Chemchemi ya Yakobo peke yake, Katika nchi ya ngano na divai; Naam, mbingu zake zadondoza umande.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo, watu wa Israeli wakakaa salama, wazawa wa Yakobo peke yao, katika nchi iliyojaa nafaka na divai, nchi ambayo anga lake hudondosha umande.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Israeli ataishi salama peke yake. Mzao wa Yakobo ni salama katika nchi ya nafaka na divai mpya, mahali ambapo mbingu hudondosha umande.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Israeli ataishi salama peke yake. Mzao wa Yakobo ni salama katika nchi ya nafaka na divai mpya, mahali ambapo mbingu hudondosha umande.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Israeli anakaa salama, Chemchemi ya Yakobo peke yake, Katika nchi ya ngano na divai; Naam, mbingu zake zadondoza umande.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo, watu wa Israeli wakakaa salama, wazawa wa Yakobo peke yao, katika nchi iliyojaa nafaka na divai, nchi ambayo anga lake hudondosha umande.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo Waisiraeli watakaa na kutulia vema, watakuwa pake yao kwenye chemchemi yake Yakobo katika nchi yenye ngano na mvinyo mbichi, nazo mbingu zake zitadondoa umande.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Israeli anakaa salama, Chemchemi ya Yakobo peke yake, Katika nchi ya ngano na divai; Naam, mbingu zake zadondoza umande.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, watu wa Israeli wakakaa salama, wazao wa Yakobo peke yao, katika inchi iliyojaa ngano na divai, inchi ambayo anga lake linadondosha umande.