Deuteronomy 33:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Juu ya kabila la Yuda alisema: “Ee Mwenyezi-Mungu usikilize kilio cha kabila la Yuda; umrudishe tena kwa watu wale wengine. Upigane kwa mikono yako kwa ajili yake, ulisaidie kabila la Yuda dhidi ya adui zake.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akasema hili kuhusu Yuda: “Ee Mwenyezi Mungu, sikia kilio cha Yuda, mlete kwa watu wake. Kwa mikono yake mwenyewe hujitetea. Naam, uwe msaada wake dhidi ya adui zake!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na baraka ya Yuda ni hii; akasema, Isikize, Ee Bwana, sauti ya Yuda, Umlete ndani kwa watu wake; Alijitetea kwa mikono yake; Nawe utakuwa msaada juu ya adui zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Juu ya kabila la Yuda alisema: “Ee Mwenyezi-Mungu usikilize kilio cha kabila la Yuda; umrudishe tena kwa watu wale wengine. Upigane kwa mikono yako kwa ajili yake, ulisaidie kabila la Yuda dhidi ya adui zake.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akasema hili kuhusu Yuda: “Ee BWANA, sikia kilio cha Yuda, mlete kwa watu wake. Kwa mikono yake mwenyewe hujitetea. Naam, uwe msaada wake dhidi ya adui zake!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akasema hili kuhusu Yuda: “Ee bwana, sikia kilio cha Yuda, mlete kwa watu wake. Kwa mikono yake mwenyewe hujitetea. Naam, uwe msaada wake dhidi ya adui zake!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na baraka ya Yuda ni hii; akasema, Isikize, Ee BWANA, sauti ya Yuda, Umlete ndani kwa watu wake; Alijitetea kwa mikono yake; Nawe utakuwa msaada juu ya adui zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Juu ya kabila la Yuda alisema: “Ee Mwenyezi-Mungu usikilize kilio cha kabila la Yuda; umrudishe tena kwa watu wale wengine. Upigane kwa mikono yako kwa ajili yake, ulisaidie kabila la Yuda dhidi ya adui zake.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo hii ni mbaraka ya Yuda, akasema: Bwana, uisikie sauti ya Yuda! Umwingize kwao walio ukoo wake! Kwani mikono yake itakapowapigia vita, nawe msaidie kuwashinda wapingani wake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na baraka ya Yuda ni hii; akasema, Isikize, Ee BWANA, sauti ya Yuda, Umlete ndani kwa watu wake; Alijitetea kwa mikono yake; Nawe utakuwa msaada juu ya adui zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Juu ya kabila la Yuda akasema: “Ee Yawe usikilize kilio cha kabila la Yuda; umurudishe tena kwa wandugu zake. Upigane kwa mikono yako kwa ajili yake, usaidie kabila la Yuda mbele ya waadui zake.”