Deuteronomy 34:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapajatokea tena nabii katika Israeli kama Mose, ambaye Mwenyezi-Mungu aliongea naye ana kwa ana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tangu wakati huo, katika Israeli hajainuka nabii mwingine kama Musa, ambaye Mwenyezi Mungu alimjua uso kwa uso,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala hajainuka tena katika Israeli nabii kama Musa, ambaye Bwana alimjua uso kwa uso;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapajatokea tena nabii katika Israeli kama Mose, ambaye Mwenyezi-Mungu aliongea naye ana kwa ana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tangu wakati huo, katika Israeli hajainuka nabii mwingine kama Mose, ambaye BWANA alimjua uso kwa uso,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tangu wakati huo, katika Israeli hajainuka nabii mwingine kama Musa, ambaye bwana alimjua uso kwa uso,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala hajainuka tena katika Israeli nabii kama Musa, ambaye BWANA alimjua uso kwa uso;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapajatokea tena nabii katika Israeli kama Mose, ambaye Mwenyezi-Mungu aliongea naye ana kwa ana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwao Waisiraeli hakuinuka tena mfumbuaji kama Mose, Bwana aliyejuana naye uso kwa uso,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala hajainuka tena katika Israeli nabii kama Musa, ambaye BWANA alimjua uso kwa uso;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakujatokea tena nabii katika Israeli kama Musa, ambaye Yawe alisema naye uso kwa uso.