Deuteronomy 34:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakuna nabii mwingine ambaye alifanya ishara na miujiza kama ile ambayo Mwenyezi-Mungu aliyomtuma Mose afanye juu ya mfalme wa Misri, wakuu wake na nchi yake yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
aliyetenda ishara zote zile za miujiza na maajabu ambayo Mwenyezi Mungu alimtuma kuyatenda huko Misri, yaani kwa Farao na maafisa wake wote na nchi yake yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
katika ishara zote na maajabu yote, ambayo Bwana alimtuma kuyatenda katika nchi ya Misri, kwa Farao, na kwa watumishi wake wote, na kwa nchi yake yote;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakuna nabii mwingine ambaye alifanya ishara na miujiza kama ile ambayo Mwenyezi-Mungu aliyomtuma Mose afanye juu ya mfalme wa Misri, wakuu wake na nchi yake yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
aliyetenda ishara zote zile za miujiza na maajabu ambayo BWANA alimtuma kuyatenda huko Misri, yaani kwa Farao na maafisa wake wote na nchi yake yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
aliyetenda ishara zote zile za miujiza na maajabu ambayo bwana alimtuma kuyatenda huko Misri, yaani kwa Farao na maafisa wake wote na nchi yake yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
katika ishara zote na maajabu yote, ambayo BWANA alimtuma kuyatenda katika nchi ya Misri, kwa Farao, na kwa watumishi wake wote, na kwa nchi yake yote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakuna nabii mwingine ambaye alifanya ishara na miujiza kama ile ambayo Mwenyezi-Mungu aliyomtuma Mose afanye juu ya mfalme wa Misri, wakuu wake na nchi yake yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wala hakuna aliyefanana naye kwa kufanya vielekezo na vioja vyote, Bwana alivyomtuma katika nchi ya Misri kumfanyizia Farao nao watumishi wake wote na wenyeji wote wa nchi yake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
katika ishara zote na maajabu yote, ambayo BWANA alimtuma kuyatenda katika nchi ya Misri, kwa Farao, na kwa watumishi wake wote, na kwa nchi yake yote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakuna nabii mwingine ambaye alifanya vitambulisho na miujiza kama ile ambayo Yawe aliyomutuma Musa afanye mbele ya mufalme wa Misri, wakubwa wake na inchi yake yote.