Deuteronomy 34:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakuna nabii mwingine ambaye amefanya mambo makuu na ya kutisha kama alivyofanya Mose mbele ya Waisraeli wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa hakuna mtu yeyote aliyewahi kuonesha nguvu nyingi ama kutenda matendo ya kutisha ambayo Musa aliwahi kuyafanya mbele ya Israeli yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na katika ule mkono wa nguvu wote, tena katika ule utisho mkuu wote, alioutenda Musa machoni pa Israeli wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakuna nabii mwingine ambaye amefanya mambo makuu na ya kutisha kama alivyofanya Mose mbele ya Waisraeli wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa hakuna mtu ye yote aliyewahi kuonyesha nguvu nyingi ama kutenda matendo ya kutisha ambayo Mose aliwahi kuyafanya mbele ya Israeli yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa hakuna mtu yeyote aliyewahi kuonyesha nguvu nyingi ama kutenda matendo ya kutisha ambayo Musa aliwahi kuyafanya mbele ya Israeli yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na katika ule mkono wa nguvu wote, tena katika ule utisho mkuu wote, alioutenda Musa machoni pa Israeli wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakuna nabii mwingine ambaye amefanya mambo makuu na ya kutisha kama alivyofanya Mose mbele ya Waisraeli wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wala hakuna aliyefanana naye kwa kufanya matendo yote ya nguvu za mikono yake wala kwa yale makuu yote ya kustusha, Mose aliyoyafanya machoni pao Waisiraeli wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na katika ule mkono wa nguvu wote, tena katika ule utisho mkuu wote, alioutenda Musa machoni pa Israeli wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakuna nabii mwingine ambaye amefanya mambo makubwa na ya kutisha kama vile Musa alivyofanya mbele ya Waisraeli wote.