Deuteronomy 34:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
eneo lote la Naftali, eneo la Efraimu na Manase, eneo lote la Yuda mpaka Bahari ya Mediteranea;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naftali yote, nchi ya Efraimu na Manase, nchi yote ya Yuda hadi bahari ya magharibi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Naftali yote, na nchi ya Efraimu na Manase, na nchi yote ya Yuda, mpaka bahari ya magharibi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
eneo lote la Naftali, eneo la Efraimu na Manase, eneo lote la Yuda mpaka Bahari ya Mediteranea;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naftali yote, nchi ya Efraimu na Manase, nchi yote ya Yuda mpaka bahari ya magharibi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naftali yote, nchi ya Efraimu na Manase, nchi yote ya Yuda mpaka bahari ya magharibi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Naftali yote, na nchi ya Efraimu na Manase, na nchi yote ya Yuda, mpaka bahari ya magharibi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
eneo lote la Naftali, eneo la Efraimu na Manase, eneo lote la Yuda mpaka Bahari ya Mediteranea;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nayo nchi yote ya Nafutali, nayo nchi ya Efuraimu, nayo ya Manase, nayo nchi yote nzima ya Yuda mpaka kwenye bahari ya machweoni kwa jua,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Naftali yote, na nchi ya Efraimu na Manase, na nchi yote ya Yuda, mpaka bahari ya magharibi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
eneo lote la Nafutali, eneo la Efuraimu na Manase, eneo lote la Yuda mpaka bahari ya Mediteranea,