Deuteronomy 34:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nyika ya Negebu na eneo la nyika ya bonde la Yeriko, mji wa mitende, mpaka Soari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Negebu na nchi yote kuanzia Bonde la Yeriko, Mji wa Mitende, hadi Soari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Negebu, na uwanja wa bonde la Yeriko, mji wa mitende, hata mpaka Soari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nyika ya Negebu na eneo la nyika ya bonde la Yeriko, mji wa mitende, mpaka Soari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Negebu na nchi yote kuanzia Bonde la Yeriko, Mji wa Mitende, hadi Soari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Negebu na nchi yote kuanzia Bonde la Yeriko, Mji wa Mitende, hadi Soari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Negebu, na uwanja wa bonde la Yeriko, mji wa mitende, hata mpaka Soari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nyika ya Negebu na eneo la nyika ya bonde la Yeriko, mji wa mitende, mpaka Soari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nayo nchi ya kusini, nayo nchi ya tambarare ya bondeni karibu ya Yeriko, ule mji wenye mitende, mpaka Soari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Negebu, na uwanja wa bonde la Yeriko, mji wa mitende, hata mpaka Soari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
jangwa la Negebu na eneo la jangwa la bonde la Yeriko, muji wa miti ya ngazi mpaka Soari.