Deuteronomy 34:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mose mtumishi wa Mwenyezi-Mungu akafariki huko nchini Moabu, kama Mwenyezi-Mungu alivyokuwa amemesema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye Musa mtumishi wa Mwenyezi Mungu akafa huko Moabu, kama Mwenyezi Mungu alivyokuwa amesema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Musa, mtumishi wa Bwana, akafa huko, katika nchi ya Moabu, kwa neno la Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mose mtumishi wa Mwenyezi-Mungu akafariki huko nchini Moabu, kama Mwenyezi-Mungu alivyokuwa amemesema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye Mose mtumishi wa BWANA akafa huko Moabu, kama BWANA alivyokuwa amesema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye Musa mtumishi wa bwana akafa huko Moabu, kama bwana alivyokuwa amesema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Musa, mtumishi wa BWANA, akafa huko, katika nchi ya Moabu, kwa neno la BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mose mtumishi wa Mwenyezi-Mungu akafariki huko nchini Moabu, kama Mwenyezi-Mungu alivyokuwa amemesema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Mose, mtumishi wa Bwana, akafa huko katika nchi ya Moabu, kwa kuwa Bwana aliviagiza hivyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Musa, mtumishi wa BWANA, akafa huko, katika nchi ya Moabu, kwa neno la BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Musa mutumishi wa Yawe akakufa kule katika inchi ya Moabu kulingana na neno Yawe alilosema.