Deuteronomy 34:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose alikuwa na umri wa miaka 120 alipofariki; macho yake yalikuwa hayajafifia, na alikuwa timamu na mwenye nguvu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa alikuwa na umri wa miaka mia moja na ishirini alipofariki; hata hivyo nguvu ya macho yake haikufifia wala mwili wake haukudhoofika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa alikuwa mtu wa miaka mia na ishirini alipokufa; jicho lake halikupofuka, wala nguvu za mwili wake hazikupunguka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose alikuwa na umri wa miaka 120 alipofariki; macho yake yalikuwa hayajafifia, na alikuwa timamu na mwenye nguvu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose alikuwa na umri wa miaka mia moja na ishirini alipofariki; hata hivyo nguvu ya macho yake haikufifia wala mwili wake haukudhoofika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa alikuwa na umri wa miaka mia moja na ishirini alipofariki; hata hivyo nguvu ya macho yake haikufifia wala mwili wake haukudhoofika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa alikuwa mtu wa miaka mia moja na ishirini alipokufa; jicho lake halikupofuka, wala nguvu za mwili wake hazikupunguka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose alikuwa na umri wa miaka 120 alipofariki; macho yake yalikuwa hayajafifia, na alikuwa timamu na mwenye nguvu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose alikuwa mwenye miaka 120 alipokufa, macho yake yalikuwa hayakufifia, nazo nguvu zake za mwilini zilikuwa hazikupunguka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa alikuwa mtu wa miaka mia na ishirini alipokufa; jicho lake halikupofuka, wala nguvu za mwili wake hazikupunguka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa alikuwa na umri wa miaka mia moja na makumi mbili alipokufa. Macho yake yalikuwa hayajafifia, na nguvu za mwili wake hazikupunguka.