Deuteronomy 4:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Basi, mlikaribia na kusimama chini ya ule mlima ambao wakati huo ulikuwa unawaka moto uliofika mpaka mbinguni ukiwa umetanda giza na wingu zito.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mlisogea karibu na mkasimama chini ya mlima wakati ulipowaka moto hadi juu mbinguni, pamoja na mawingu meusi na giza nene.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mkakaribia, mkasimama chini ya ule mlima; mlima ukawaka moto mpaka kati ya mbinguni, kwa giza na mawingu, na giza kuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Basi, mlikaribia na kusimama chini ya ule mlima ambao wakati huo ulikuwa unawaka moto uliofika mpaka mbinguni ukiwa umetanda giza na wingu zito.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mlisogea karibu na mkasimama chini ya mlima wakati ulipowaka moto mpaka mbinguni juu, pamoja na mawingu meusi na giza nene.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mlisogea karibu na mkasimama chini ya mlima wakati ulipowaka moto mpaka mbinguni juu, pamoja na mawingu meusi na giza nene.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mkakaribia, mkasimama chini ya ule mlima; mlima ukawaka moto mpaka mbinguni, kwa giza na mawingu, na giza kuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Basi, mlikaribia na kusimama chini ya ule mlima ambao wakati huo ulikuwa unawaka moto uliofika mpaka mbinguni ukiwa umetanda giza na wingu zito.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Napo, mlipomkaribia na kusimama mlimani chini, mlima ukawaka moto mpaka juu ndani ya mbinguni, kukawa na giza na mawingu meusi kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mkakaribia, mkasimama chini ya ule mlima; mlima ukawaka moto mpaka kati ya mbinguni, kwa giza na mawingu, na giza kuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Basi, mulikaribia na kusimama chini ya ule mulima ambao wakati huo ulikuwa unawaka moto uliofika mpaka mbinguni ukiwa umetanda giza na wingu zito.