Deuteronomy 4:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye akawatangazia agano lake akawaamuru mlishike yaani mzitii zile amri kumi ambazo aliziandika juu ya vibao viwili vya mawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliwatangazia agano lake, hizo Amri Kumi ambazo aliwaamuru mzifuate, kisha akaziandika juu ya vibao viwili vya mawe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawahubiri agano lake, alilowaamuru kulitenda, yaani, zile amri kumi; akaziandika juu ya mbao mbili za mawe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye akawatangazia agano lake akawaamuru mlishike yaani mzitii zile amri kumi ambazo aliziandika juu ya vibao viwili vya mawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliwatangazia Agano lake na Amri Kumi, ambazo aliwaamuru mzifuate, kisha akaziandika juu ya vibao viwili vya mawe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliwatangazia Agano lake na Amri Kumi, ambazo aliwaamuru mzifuate, kisha akaziandika juu ya vibao viwili vya mawe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawahubiria agano lake, alilowaamuru kulitenda, yaani, zile amri kumi; akaziandika katika vibao viwili vya mawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye akawatangazia agano lake akawaamuru mlishike yaani mzitii zile amri kumi ambazo aliziandika juu ya vibao viwili vya mawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, alivyowatangazia Agano lake, alilowaagiza kulifanya, yale maagizo kumi, kisha akayaandika katika mbao mbili za mawe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawahubiri agano lake, alilowaamuru kulitenda, yaani, zile amri kumi; akaziandika juu ya mbao mbili za mawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye akawatangazia agano lake akawaamuru mulishike maana yake mutii zile amri kumi ambazo aliandika juu ya vibao viwili vya mawe.