Deuteronomy 4:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
msipotoke kwa kujifanyia sanamu yoyote ya kuchonga, au ya umbo au mfano wowote, mfano wa kiume au wa kike,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili msije mkajichafua na kujitengenezea sanamu au kinyago chenye umbo lolote kama la mwanaume au mwanamke,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
msije mkajiharibu nafsi zenu, mkajifanyia sanamu ya kuchonga, mfano wa sura yo yote, mfano wa mwanamume au mwanamke,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
msipotoke kwa kujifanyia sanamu yoyote ya kuchonga, au ya umbo au mfano wowote, mfano wa kiume au wa kike,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili msije mkajichafua na kujitengenezea sanamu au kinyago chenye umbo lo lote kama la mwanaume au mwanamke,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili msije mkajichafua na kujitengenezea sanamu au kinyago chenye umbo lolote kama la mwanaume au mwanamke,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
msije mkajiharibu nafsi zenu, mkajifanyia sanamu ya kuchonga, mfano wa sura yoyote, mfano wa mwanamume au mwanamke,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
msipotoke kwa kujifanyia sanamu yoyote ya kuchonga, au ya umbo au mfano wowote, mfano wa kiume au wa kike,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msijiponze na kujifanyizia kinyago cho chote cha kuchongwa, wala cha kuyeyushwa, wala cha kuchorwa maweni kwa mfano wa mtu mume au mke,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
msije mkajiharibu nafsi zenu, mkajifanyia sanamu ya kuchonga, mfano wa sura yo yote, mfano wa mwanamume au mwanamke,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
musipotoke kwa kujifanyia sanamu yoyote ya kuchonga, au ya umbo au mufano wowote, mufano wa wanaume au wanawake,