Deuteronomy 4:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wa mnyama yeyote duniani au ndege,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
au kama mnyama aliye juu ya nchi au ndege yeyote arukaye angani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mfano wa mnyama ye yote aliye duniani, au mfano wa ndege ye yote arukaye mbinguni,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wa mnyama yeyote duniani au ndege,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
au kama mnyama aliye juu ya nchi au ndege ye yote arukaye angani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
au kama mnyama aliye juu ya nchi au ndege yeyote arukaye angani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mfano wa mnyama yeyote aliye duniani, au mfano wa ndege yeyote arukaye mbinguni,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wa mnyama yeyote duniani au ndege,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wala kwa mfano wo wote wa nyama wa huku nchini, wala kwa mfano wo wote wa ndege mwenye mabawa ya kurukia angani,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mfano wa mnyama ye yote aliye duniani, au mfano wa ndege ye yote arukaye mbinguni,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wa nyama yeyote katika dunia au ndege,