Deuteronomy 4:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
au mfano wa mnyama atambaaye ardhini au wa samaki majini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
au kama kiumbe kinachotambaa juu ya ardhi, au samaki yeyote aliye ndani ya maji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
au mfano wa kitu cho chote kitambaacho juu ya ardhi, au mfano wa samaki ye yote aliye majini chini ya nchi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
au mfano wa mnyama atambaaye ardhini au wa samaki majini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
au kama kiumbe kitambaacho juu ya ardhi au samaki ye yote aliye ndani ya maji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
au kama kiumbe kitambaacho juu ya ardhi au samaki yeyote aliye ndani ya maji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
au mfano wa kitu chochote kitambaacho juu ya ardhi, au mfano wa samaki yeyote aliye katika maji chini ya nchi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
au mfano wa mnyama atambaaye ardhini au wa samaki majini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wala kwa mfano wo wote wa dudu atambaaye mchangani, wala kwa mfano wo wote wa samaki wa majini chini ya nchi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
au mfano wa kitu cho chote kitambaacho juu ya ardhi, au mfano wa samaki ye yote aliye majini chini ya nchi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
au mufano wa nyama anayetambaa juu ya udongo au wa samaki ndani ya maji.