Deuteronomy 4:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msiongeze chochote katika amri ninazowapeni, wala msipunguze kitu; zingatieni amri za Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ambazo ninawapeni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiongeze wala usipunguze chochote ninachowaamuru ninyi, ila myashike maagizo ya Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, ambayo nawapa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msiliongeze neno niwaamurulo wala msilipunguze, mpate kuzishika amri za Bwana, Mungu wenu, niwaamuruzo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msiongeze chochote katika amri ninazowapeni, wala msipunguze kitu; zingatieni amri za Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ambazo ninawapeni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiongeze wala usipunguze cho chote ninachowaamuru ninyi, ila myashike maagizo ya BWANA Mungu wenu ambayo nawapa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiongeze wala usipunguze chochote ninachowaamuru ninyi, ila myashike maagizo ya bwana Mwenyezi Mungu wenu ambayo nawapa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msiliongeze neno ninalowaamuru wala msilipunguze, mpate kuzishika amri za BWANA, Mungu wenu, ninazowaamuru.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msiongeze chochote katika amri ninazowapeni, wala msipunguze kitu; zingatieni amri za Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ambazo ninawapeni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayo, mimi nitakayowaagiza, msiyaongeze, wala msiyapunguze, ila yaangalieni haya maagizo ya Bwana Mungu, mimi nitakayowaagiza ninyi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msiliongeze neno niwaamurulo wala msilipunguze, mpate kuzishika amri za BWANA, Mungu wenu, niwaamuruzo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musiongeze chochote katika amri ninazowapa, wala musipunguze kitu. Mushike amri za Yawe, Mungu wenu, ambazo ninawapa.