Deuteronomy 4:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa sababu yenu Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, alinikasirikia, akaapa kwamba mimi sitavuka mto Yordani kuingia katika nchi ile nzuri anayowapeni iwe mali yenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu alinikasirikia kwa sababu yenu na akaapa kwamba sitavuka Yordani kuingia katika nchi nzuri Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anayowapa kuwa urithi wenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena Bwana alinikasirikia kwa ajili yenu, akaapa ya kwamba sitavuka Yordani, na ya kwamba sitaingia nchi ile njema, awapayo Bwana, Mungu wenu, iwe urithi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa sababu yenu Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, alinikasirikia, akaapa kwamba mimi sitavuka mto Yordani kuingia katika nchi ile nzuri anayowapeni iwe mali yenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA alinikasirikia kwa sababu yenu na akaapa kwamba sitavuka Yordani kuingia katika nchi nzuri BWANA Mungu wenu anayowapa kuwa urithi wenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana alinikasirikia kwa sababu yenu na akaapa kwamba sitavuka Yordani kuingia katika nchi nzuri bwana Mwenyezi Mungu wenu anayowapa kuwa urithi wenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena BWANA alinikasirikia kwa ajili yenu, akaapa ya kwamba sitavuka Yordani, na ya kwamba sitaingia nchi ile njema, awapayo BWANA, Mungu wenu, iwe urithi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa sababu yenu Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, alinikasirikia, akaapa kwamba mimi sitavuka mto Yordani kuingia katika nchi ile nzuri anayowapeni iwe mali yenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Bwana akanikasiria mimi kwa ajili yenu, akaapa, kwamba nisiuvuke Yordani, nisiingie hiyo nchi njema, Bwana Mungu wako atakayokupa wewe, iwe fungu lako mwenyewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena BWANA alinikasirikia kwa ajili yenu, akaapa ya kwamba sitavuka Yordani, na ya kwamba sitaingia nchi ile njema, awapayo BWANA, Mungu wenu, iwe urithi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa sababu yenu Yawe, Mungu wenu, alinikasirikia, akaapa kwamba mimi sitavuka muto Yordani kuingia katika inchi ile nzuri anayowapa ikuwe mali yenu.