Deuteronomy 4:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ni moto uteketezao; yeye ni Mungu mwenye wivu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, ni moto ulao, Mungu mwenye wivu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa kuwa Bwana, Mungu wenu, ni moto ulao, Mungu mwenye wivu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ni moto uteketezao; yeye ni Mungu mwenye wivu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa BWANA Mungu wenu ni moto ulao, Mungu mwenye wivu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa bwana aliye Mungu wenu ni moto ulao, Mungu mwenye wivu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa kuwa BWANA, Mungu wenu, ni moto uangamizao, Mungu mwenye wivu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ni moto uteketezao; yeye ni Mungu mwenye wivu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Bwana Mungu wako ni moto ulao, yeye ni Mungu mwenye wivu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa kuwa BWANA, Mungu wenu, ni moto ulao, Mungu mwenye wivu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
maana Yawe, Mungu wenu, ni moto unaoteketeza. Yeye ni Mungu mwenye wivu.