Deuteronomy 4:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huko mtaitumikia miungu ya miti na mawe ambayo imetengenezwa kwa mikono ya watu; na ambayo haiwezi kuona, haisikii, haili wala kunusa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huko mtaabudu miungu ya miti na mawe iliyotengenezwa na watu, ambayo haiwezi kuona au kusikia wala kula au kunusa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na huko mtatumikia miungu, kazi za mikono ya watu, miti na mawe, ambao hawaoni, wala hawasikii, hawali, wala hawanusi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huko mtaitumikia miungu ya miti na mawe ambayo imetengenezwa kwa mikono ya watu; na ambayo haiwezi kuona, haisikii, haili wala kunusa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huko mtaabudu miungu ya miti na mawe iliyotengenezwa na watu, ambayo haiwezi kuona au kusikia wala kula au kunusa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huko mtaabudu miungu ya miti na mawe iliyotengenezwa na watu, ambayo haiwezi kuona au kusikia wala kula au kunusa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na huko mtatumikia miungu, waliotengenezwa kwa mikono ya watu, miti na mawe, miungu ambao hawaoni, hawasikii, hawali, wala hawanusi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huko mtaitumikia miungu ya miti na mawe ambayo imetengenezwa kwa mikono ya watu; na ambayo haiwezi kuona, haisikii, haili wala kunusa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huko ndiko, mtakakotumikia miungu iliyo kazi za mikono ya watu, iliyo miti na mawe, isiyoona, isiyosikia, isiyokula, isiyonusa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na huko mtatumikia miungu, kazi za mikono ya watu, miti na mawe, ambao hawaoni, wala hawasikii, hawali, wala hawanusi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Huko mutatumikia miungu ya miti na mawe ambayo imetengenezwa kwa mikono ya watu na ambayo haiwezi kuona, haisikii, haikuli wala kunusa.