Deuteronomy 4:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha kutoka humohumo nchini mtamtafuta Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, nanyi mtampata kama mkimtafuta kwa moyo wote na roho yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kama mtamtafuta Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, mtampata; kama mtamtafuta kwa moyo wote na kwa roho yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini huko, kama mkimtafuta Bwana, Mungu wako, utampata, ukimtafuta kwa moyo wako wote, na roho yako yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha kutoka humohumo nchini mtamtafuta Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, nanyi mtampata kama mkimtafuta kwa moyo wote na roho yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kama mtamtafuta BWANA Mungu wenu, mtampata; kama mtamtafuta kwa moyo wenu wote na kwa roho yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kama mtamtafuta bwana Mwenyezi Mungu wenu, mtampata; kama mtamtafuta kwa moyo wenu wote na kwa roho yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini huko, kama ukimtafuta BWANA, Mungu wako, utampata, ukimtafuta kwa moyo wako wote, na roho yako yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha kutoka humohumo nchini mtamtafuta Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, nanyi mtampata kama mkimtafuta kwa moyo wote na roho yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mtakapomtafuta huko Bwana Mungu wenu mtamwona, ukimtafuta kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini huko, kama mkimtafuta BWANA, Mungu wako, utampata, ukimtafuta kwa moyo wako wote, na roho yako yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha kutoka humohumo katika inchi mutamutafuta Yawe, Mungu wenu, nanyi mutamupata kama mukimutafuta kwa moyo wote na roho yote.