Deuteronomy 4:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mambo haya yote yatakapowapata huko baadaye, mkapata taabu, mtamrudia Mwenyezi-Mungu na kumtii.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mnapokuwa katika dhiki, nayo mambo haya yote yamewatokea siku hizo, ndipo mtamrudia Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, na kumtii.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wakati uwapo katika mashaka, ukiisha kupatwa na mambo haya yote, siku za mwisho, utamrudia Bwana, Mungu wako, na kuisikiza sauti yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mambo haya yote yatakapowapata huko baadaye, mkapata taabu, mtamrudia Mwenyezi-Mungu na kumtii.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati mnapokuwa katika dhiki, nayo mambo haya yote yamewatokea siku hizo, ndipo mtamrudia BWANA Mungu wenu na kumtii.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati mnapokuwa katika dhiki, nayo mambo haya yote yamewatokea siku hizo, ndipo mtamrudia bwana Mwenyezi Mungu wenu na kumtii.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wakati uwapo katika mashaka, ukiisha kupatwa na mambo haya yote, siku za mwisho, utamrudia BWANA, Mungu wako, na kuisikiliza sauti yake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mambo haya yote yatakapowapata huko baadaye, mkapata taabu, mtamrudia Mwenyezi-Mungu na kumtii.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakaposongeka kwa kupatwa na mambo hayo yote siku zile za mwisho, ndipo, utakaporudi kwa Bwana Mungu wako, uzisikilize sauti zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wakati uwapo katika mashaka, ukiisha kupatwa na mambo haya yote, siku za mwisho, utamrudia BWANA, Mungu wako, na kuisikiza sauti yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mambo haya yote yatakapowapata huko, kisha mukipata taabu, mutamurudilia Yawe na kumutii.