Deuteronomy 4:38 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliyafukuza mbele yenu mataifa makubwa na yenye nguvu kuliko nyinyi, ili awalete na kuwapeni nchi yao iwe urithi wenu, kama ilivyo hadi leo!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
aliwafukuza mbele yenu mataifa makubwa na yenye nguvu kuliko ninyi na kuwaleta ninyi katika nchi yao na akawapa ninyi kuwa urithi wenu, kama ilivyo leo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ili kufukuza mbele yako mataifa, walio wakubwa, wenye nguvu kukupita wewe, ili kukuingiza, na kukupa nchi yao iwe urithi, kama ilivyo leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliyafukuza mbele yenu mataifa makubwa na yenye nguvu kuliko nyinyi, ili awalete na kuwapeni nchi yao iwe urithi wenu, kama ilivyo hadi leo!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
aliwafukuza mbele yenu mataifa makubwa na yenye nguvu kuliko ninyi na kuwaleta ninyi katika nchi yao na akawapa ninyi kuwa urithi wenu, kama ilivyo leo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
aliwafukuza mbele yenu mataifa makubwa na yenye nguvu kuliko ninyi na kuwaleta ninyi katika nchi yao na akawapa ninyi kuwa urithi wenu, kama ilivyo leo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ili kuwafukuza mbele yako mataifa, walio wakubwa, wenye nguvu kukupita wewe, ili kukuingiza, na kukupa nchi yao iwe urithi, kama ilivyo leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliyafukuza mbele yenu mataifa makubwa na yenye nguvu kuliko nyinyi, ili awalete na kuwapeni nchi yao iwe urithi wenu, kama ilivyo hadi leo!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
afukuze mbele yako mataifa makubwa yenye nguvu za kukushinda wewe, akuingize kwao na kukupa nchi yao, iwe yako, kama inavyoelekea leo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili kufukuza mbele yako mataifa, walio wakubwa, wenye nguvu kukupita wewe, ili kukuingiza, na kukupa nchi yao iwe urithi, kama ilivyo leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alifukuza mbele yenu mataifa makubwa na yenye nguvu kuliko ninyi, kusudi awalete na kuwapa inchi yao ikuwe urizi wenu, kama vile inavyokuwa mpaka leo!