Deuteronomy 4:39 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, kumbukeni leo na kuweka mioyoni mwenu, kwamba Mwenyezi-Mungu ndiye Mungu juu mbinguni na chini duniani; hakuna mwingine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kubalini na mweke moyoni leo kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Mungu mbinguni juu na duniani chini. Hakuna mwingine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo ujue, leo hivi, ukaweke moyoni mwako, ya kuwa Bwana ndiye Mungu katika mbingu juu, na katika nchi chini; hapana mwingine.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, kumbukeni leo na kuweka mioyoni mwenu, kwamba Mwenyezi-Mungu ndiye Mungu juu mbinguni na chini duniani; hakuna mwingine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kubalini na mweke moyoni leo kuwa BWANA ndiye Mungu mbinguni juu na duniani chini. Hakuna mwingine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kubalini na mweke moyoni leo kuwa bwana ndiye Mungu mbinguni juu na duniani chini. Hakuna mwingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo ujue, leo hivi, ukaweke moyoni mwako, ya kuwa BWANA ndiye Mungu katika mbingu juu, na katika nchi chini; hapana mwingine.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, kumbukeni leo na kuweka mioyoni mwenu, kwamba Mwenyezi-Mungu ndiye Mungu juu mbinguni na chini duniani; hakuna mwingine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
siku hii ya leo yajue na kuyaweka moyoni mwako, ya kuwa Bwana ndiye Mungu mbinguni juu na huku nchini chini, hakuna mwingine tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo ujue, leo hivi, ukaweke moyoni mwako, ya kuwa BWANA ndiye Mungu katika mbingu juu, na katika nchi chini; hapana mwingine.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, mukumbuke leo na kuweka ndani ya mioyo yenu, kwamba Yawe ndiye Mungu juu mbinguni na chini katika dunia. Hakuna mwingine.