Deuteronomy 4:41 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Mose akatenga miji mitatu mashariki ya mto Yordani,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Musa akatenga miji mitatu mashariki mwa Yordani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Musa akabagua miji mitatu ng'ambo ya Yordani upande wa matokeo ya jua;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Mose akatenga miji mitatu mashariki ya mto Yordani,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Mose akatenga miji mitatu mashariki ya Yordani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Musa akatenga miji mitatu mashariki ya Yordani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Musa akabagua miji mitatu ng'ambo ya Yordani upande wa mashariki;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Mose akatenga miji mitatu mashariki ya mto Yordani,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Mose akatenga miji mitatu ng'ambo ya Yordani ya maawioni kwa jua,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Musa akabagua miji mitatu ng’ambo ya Yordani upande wa matokeo ya jua;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Musa akatenga miji mitatu upande wa mashariki ya muto Yordani,