Deuteronomy 4:43 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitenga mji wa Beseri katika tambarare ya jangwa kwa ajili ya kabila la Reubeni; mji wa Ramothi katika nchi ya Gileadi kwa ajili ya kabila la Gadi, na mji wa Golani katika nchi ya Bashani kwa ajili ya kabila la Manase.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Miji hiyo ilikuwa: Bezeri katika tambarare ya jangwa kwa ajili ya Wareubeni; Ramothi katika nchi ya Gileadi kwa ajili ya Wagadi; nao mji wa Golani katika nchi ya Bashani kwa ajili ya Wamanase.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nayo ni hii, Beseri ya barani iliyo katika nchi tambarare, kwa Wareubeni; na Ramothi iliyo Gileadi, kwa Wagadi; na Golani iliyo Bashani, kwa Wamanase.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitenga mji wa Beseri katika tambarare ya jangwa kwa ajili ya kabila la Reubeni; mji wa Ramothi katika nchi ya Gileadi kwa ajili ya kabila la Gadi, na mji wa Golani katika nchi ya Bashani kwa ajili ya kabila la Manase.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Miji hiyo ilikuwa: Beseri katika tambarare ya jangwa kwa ajili ya Wareubeni; Ramoth katika nchi ya Gileadi kwa ajili ya Wagadi; nao mji wa Golani katika nchi ya Bashani kwa ajili ya Wamanase.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Miji hiyo ilikuwa: Bezeri katika tambarare ya jangwa kwa ajili ya Wareubeni; Ramothi katika nchi ya Gileadi kwa ajili ya Wagadi; nao mji wa Golani katika nchi ya Bashani kwa ajili ya Wamanase.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nayo ni hii, Beseri ya barani iliyo katika nchi tambarare, kwa Wareubeni; na Ramothi iliyo Gileadi, kwa Wagadi; na Golani iliyo Bashani, kwa Wamanase.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitenga mji wa Beseri katika tambarare ya jangwa kwa ajili ya kabila la Reubeni; mji wa Ramothi katika nchi ya Gileadi kwa ajili ya kabila la Gadi, na mji wa Golani katika nchi ya Bashani kwa ajili ya kabila la Manase.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo ni hii: Beseri wa nyikani katika nchi ya tambarare kwa Warubeni na Ramoti wa Gileadi kwa Wagadi na Golani wa Basani kwa Wamanase.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nayo ni hii, Beseri ya barani iliyo katika nchi tambarare, kwa Wareubeni; na Ramothi iliyo Gileadi, kwa Wagadi; na Golani iliyo Bashani, kwa Wamanase.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitenga muji wa Beseri katika bonde la jangwa kwa ajili ya kabila la Rubeni, muji wa Ramoti katika inchi ya Gileadi kwa ajili ya kabila la Gadi, na muji wa Golani katika inchi ya Basani kwa ajili ya kabila la Manase.