Deuteronomy 4:44 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hii ndiyo sheria ambayo Mose aliwapa Waisraeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hii ndiyo sheria Musa aliyoweka mbele ya Waisraeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na torati Musa aliyowawekea wana wa Israeli ni hii;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hii ndiyo sheria ambayo Mose aliwapa Waisraeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hii ndiyo sheria Mose aliyoweka mbele ya Waisraeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hii ndiyo sheria Musa aliyoweka mbele ya Waisraeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na torati Musa aliyowawekea wana wa Israeli ni hii;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hii ndiyo sheria ambayo Mose aliwapa Waisraeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya ndiyo maonyo, Mose aliyowawekea wana wa Isiraeli;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na torati Musa aliyowawekea wana wa Israeli ni hii;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hii ndiyo sheria ambayo Musa aliwapa Waisraeli.