Deuteronomy 4:45 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Haya ndiyo maamuzi, masharti na maagizo ambayo Mose aliwaambia Waisraeli walipotoka Misri,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haya ndio masharti, amri na sheria Musa alizowapa Waisraeli walipotoka Misri,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
haya ndiyo mashuhudizo, na amri, na hukumu, Musa alizowaambia wana wa Israeli walipotoka Misri;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Haya ndiyo maamuzi, masharti na maagizo ambayo Mose aliwaambia Waisraeli walipotoka Misri,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haya ndiyo masharti, amri na sheria Mose aliyowapa wakati walipotoka Misri,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haya ndiyo masharti, amri na sheria Musa aliyowapa wana wa Israeli wakati walitoka Misri,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
haya ndiyo maagizo, amri na hukumu, Musa alizowaambia wana wa Israeli walipotoka Misri;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Haya ndiyo maamuzi, masharti na maagizo ambayo Mose aliwaambia Waisraeli walipotoka Misri,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena ndiyo mashuhuda na maongozi na maamuzi, Mose aliyowaambia wana wa Isiraeli, walipotoka Misri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
haya ndiyo mashuhudizo, na amri, na hukumu, Musa alizowaambia wana wa Israeli walipotoka Misri;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haya ndiyo maagizo, masharti na maamuzi ambayo Musa aliwaambia Waisraeli walipotoka Misri,