Deuteronomy 4:47 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliitwaa nchi yake na nchi ya mfalme Ogu wa Bashani. Wafalme hao wawili wa Waamori walitawala huko mashariki ya mto Yordani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waliimiliki nchi yake na nchi ya Ogu mfalme wa Bashani, wafalme wawili Waamori waliotawala mashariki mwa Yordani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakaishika nchi yake, ikawa milki yao, na nchi ya Ogu mfalme wa Bashani, ndio wafalme wawili wa Waamori, waliokuwa ng'ambo ya Yordani upande wa matokeo ya jua;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliitwaa nchi yake na nchi ya mfalme Ogu wa Bashani. Wafalme hao wawili wa Waamori walitawala huko mashariki ya mto Yordani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waliimiliki nchi yake na nchi ya Ogu mfalme wa Bashani, wafalme hao wawili waliotawala mashariki ya Yordani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waliimiliki nchi yake na nchi ya Ogu mfalme wa Bashani, wafalme wawili Waamori waliotawala mashariki ya Yordani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakaishika nchi yake, ikawa milki yao, na nchi ya Ogu mfalme wa Bashani, ndio wafalme wawili wa Waamori, waliokuwa ng'ambo ya Yordani upande wa mashariki;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliitwaa nchi yake na nchi ya mfalme Ogu wa Bashani. Wafalme hao wawili wa Waamori walitawala huko mashariki ya mto Yordani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo nchi yake wakaichukua, iwe yao, hata nchi ya Ogi, mfalme wa Basani; hawa wafalme wawili wa Waamori ndio waliokaa ng'ambo ya Yordani ya maawioni kwa jua,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakaishika nchi yake, ikawa milki yao, na nchi ya Ogu mfalme wa Bashani, ndio wafalme wawili wa Waamori, waliokuwa ng’ambo ya Yordani upande wa matokeo ya jua;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walitwaa inchi yake na inchi ya mufalme Ogi wa Basani. Wafalme hao wawili wa Waamori walitawala huko upande wa mashariki wa muto Yordani.