Deuteronomy 4:48 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nchi hiyo ilienea toka Aroeri ukingoni mwa mto Arnoni, hadi mlima Sirioni yaani Hermoni,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nchi hii ilienea kutoka Aroeri ukingoni mwa Bonde la Arnoni hadi Mlima Sioni (yaani Hermoni),
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
toka Aroeri, iliyo juu ya ukingoni pa bonde la Arnoni, hata mpaka mlima wa Sioni (nao ndio Hermoni),
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nchi hiyo ilienea toka Aroeri ukingoni mwa mto Arnoni, hadi mlima Sirioni yaani Hermoni,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nchi hii ilienea kutoka Aroeri ukingoni mwa Bonde la Arnoni mpaka Mlima Sioni (yaani Hermoni),
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nchi hii ilienea kutoka Aroeri ukingoni mwa Bonde la Arnoni mpaka Mlima Sioni (yaani Hermoni),
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
toka Aroeri, iliyo juu ya ukingoni pa bonde la Arnoni, hadi mlima wa Sioni (nao ndio Hermoni),
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nchi hiyo ilienea toka Aroeri ukingoni mwa mto Arnoni, hadi mlima Sirioni yaani Hermoni,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
toka Aroeri ulioko ukingoni kwenye kijito cha Arnoni mpaka milimani kwa Sioni, ndio Hermoni,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
toka Aroeri, iliyo juu ya ukingoni pa bonde la Arnoni, hata mpaka mlima wa Sioni (nao ndio Hermoni),
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Inchi hiyo ilienea toka Aroeri kwenye ukingo wa muto Arnoni, mpaka mulima Sirioni, ni kusema Hermoni,