Deuteronomy 4:49 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
pamoja na eneo lote mashariki ya mto Yordani mpaka bahari ya Araba, mwishoni mwa miteremko ya mlima Pisga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
pamoja na eneo lote la Araba mashariki mwa Yordani, na kuenea hadi Bahari ya Araba kwenye miteremko ya Pisga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Araba yote iliyo ng'ambo ya Yordani upande wa mashariki, hata mpaka bahari ya Araba, chini ya matelemko ya Pisga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
pamoja na eneo lote mashariki ya mto Yordani mpaka bahari ya Araba, mwishoni mwa miteremko ya mlima Pisga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
pamoja na eneo lote la Araba mashariki ya Yordani, na kuenea mpaka Bahari ya Araba kwenye mitelemko ya Pisga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
pamoja na eneo lote la Araba mashariki ya Yordani, na kuenea mpaka Bahari ya Araba kwenye miteremko ya Pisga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Araba yote iliyo ng'ambo ya Yordani upande wa mashariki, mpaka bahari ya Araba, chini ya materemko ya Pisga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
pamoja na eneo lote mashariki ya mto Yordani mpaka bahari ya Araba, mwishoni mwa miteremko ya mlima Pisga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nayo nyika yote ya ng'ambo ya Yordani ya maawioni kwa jua mpaka kwenye bahari ya nyikani chini ya matelemko ya Pisiga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Araba yote iliyo ng’ambo ya Yordani upande wa mashariki, hata mpaka bahari ya Araba, chini ya matelemko ya Pisga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
pamoja na eneo lote upande wa mashariki wa muto Yordani mpaka bahari ya Chumvi, kwa mwisho wa miteremuko ya mulima Pisiga.