Deuteronomy 4:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Haya! Nimewafundisheni masharti na maagizo kama Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, alivyoniamuru nifanye, ili muyazingatie katika nchi mnayokwenda kuimiliki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama, nimewafundisha amri na sheria kama Mwenyezi Mungu, Mungu wangu, alivyoniamuru mimi, ili mzifuate katika nchi mnayoiingia kuimiliki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Angalieni nimewafundisha amri na hukumu, vile vile kama Bwana, Mungu wangu, alivyoniamuru, ili mzitende katika nchi mwingiayo ili kuimiliki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Haya! Nimewafundisheni masharti na maagizo kama Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, alivyoniamuru nifanye, ili muyazingatie katika nchi mnayokwenda kuimiliki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama, nimewafundisha amri na sheria kama BWANA Mungu wangu alivyoniamuru mimi, ili mzifuate katika nchi mnayoiingia kuimiliki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama, nimewafundisha amri na sheria kama bwana Mwenyezi Mungu wangu alivyoniamuru mimi, ili mzifuate katika nchi mnayoiingia kuimiliki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Angalieni nimewafundisha amri na hukumu, vile vile kama BWANA, Mungu wangu, alivyoniamuru, ili mzitende katika nchi mwiingiayo ili kuimiliki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Haya! Nimewafundisheni masharti na maagizo kama Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, alivyoniamuru nifanye, ili muyazingatie katika nchi mnayokwenda kuimiliki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazameni, nimewafundisha ninyi maongozi na maamuzi, kama Bwana Mungu wangu alivyoniagiza; yafanyeni yayo hayo katika nchi hiyo, mtakayoiingia kuichukua, iwe yenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Angalieni nimewafundisha amri na hukumu, vile vile kama BWANA, Mungu wangu, alivyoniamuru, ili mzitende katika nchi mwingiayo ili kuimiliki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Muangalie! Nimewafundisha masharti na maagizo kama vile Yawe, Mungu wangu alivyoniamuru nifanye, kusudi muyashike katika inchi munayokwenda kuirizi.