Deuteronomy 5:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Adhimisha siku ya Sabato na kuiweka wakfu, kama mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, nilivyokuamuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Adhimisha siku ya Sabato na kuiweka takatifu, kama Mwenyezi Mungu, Mungu wako, alivyokuagiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ishike siku ya Sabato uitakase, kama Bwana, Mungu wako, alivyokuamuru.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Adhimisha siku ya Sabato na kuiweka wakfu, kama mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, nilivyokuamuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Adhimisha siku ya Sabato na kuiweka takatifu, kama BWANA Mungu wako alivyokuagiza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Adhimisha siku ya Sabato na kuiweka takatifu, kama bwana Mwenyezi Mungu wako alivyokuagiza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ishike siku ya Sabato uitakase, kama BWANA, Mungu wako, alivyokuamuru.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Adhimisha siku ya Sabato na kuiweka wakfu, kama mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, nilivyokuamuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ishike siku ya mapumziko kuitakasa, kama Bwana Mungu wako alivyokuagiza!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ishike siku ya Sabato uitakase, kama BWANA, Mungu wako, alivyokuamuru.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Shika siku ya Sabato na kuitakasa, kama vile mimi Yawe, Mungu wako, nilivyokuamuru.