Deuteronomy 5:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, alifanya agano nasi mlimani Horebu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, alifanya agano nasi katika mlima wa Horebu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, Mungu wetu, alifanya agano nasi katika Horebu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, alifanya agano nasi mlimani Horebu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA Mungu wetu alifanya Agano nasi katika mlima wa Horebu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana Mwenyezi Mungu wetu alifanya Agano nasi katika mlima wa Horebu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA, Mungu wetu, alifanya agano nasi katika Horebu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, alifanya agano nasi mlimani Horebu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana Mungu wetu alifanya Agano na sisi kule Horebu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, Mungu wetu, alifanya agano nasi katika Horebu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe, Mungu wetu, alifanya agano nasi kwenye mulima Horebu.